Social Icons

Showing posts with label Hon.Barack Obama. Show all posts
Showing posts with label Hon.Barack Obama. Show all posts

HABARI MPASUKO. OUT KUMTUNUKU SHAHADA YA HESHIMA RAIS BARACK OBAMA


Rais wa Marekani Mh. Barack Obama kutunukiwa shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo Kikuu Huria Cha Tanzania.
Baadae leo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Tolly S.A. Mbwette, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kumtunuku shahada ya uzamivu ya heshima Rais wa Marekani mheshimiwa Barack Obama.

Habari zaidi juu ya hili zitawafikieni hivi punde.

Kumbuka Mkutano huo na waandishi wa habari unatarajiwa kufanyika leo Alhamisi tarehe 27/06/2013 katika ukumbi wa mikutano hapo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kinondoni Dar es salaam kuanzia saa 2 asubuhi.
Like our Facebook Page
 
X
Welcome Comments for Myspace