Social Icons

USAHIHISHAJI WA MITIHANI YA JANUARI/FEBRUARI

Wanafunzi wote wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania,

Mnajulishwa kuwa zoezi la usahihishaji wa mitihani ya Januari/Februari limeanza rasmi leo na kwa ujumla limeanza vizuri.

 

Wanafunzi wote watarajie matokeo yao haraka kwani zoezi limeanza kwa kasi na linatazamiwa kumalizika haraka pia.


Tunawashukuru kwa kuchagua Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania.

 

Ahsante.

Kurugenzi ya Mawasiliano na Masoko

Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

1 comment:

  1. tunahitaji umakini zaidi ya kasi ktk usahihishaji wa mitihani

    ReplyDelete

Like our Facebook Page
 
X