Social Icons

Dr. HUSSEIN MWINYI KUZINDUA RASMI PROGRAMU MPYA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII NCHINI DR. HUSSEIN MWINYI ANATARAJIWA KUZINDUA RASMI PROGRAMU YA SHAHADA YA UZAMILI YA 'KAZI ZA JAMII' (MASTERS IN SOCIAL WORK-MSW) HAPO KESHO JUMANNE TAREHE 26/02/2013 KATIKA UKUMBI WA MWINYI HAPO KATIKA KITUO CHA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. MAELEZO KAMILI YA PROGRAMU YENYEWE FUATILIA HAPO CHINI.



The MSW programme is offered in a hybrid mode which involves running online programme via Moodle and this is expected to cover all regions in the future. The idea is to use computers to deliver lectures, assignments and tests. Different zones will be developed based on the number of applicants from various regions to facilitate this process (so far we are envisaging zonal centres to be Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar, Mbeya, Kigoma and Ruvuma in addition to the Dar es Salaam Zone).
The aim of the hybrid mode is to ensure high standards of the programme as course leaders play the role of ensuring clear guidelines for the course as well as the learning materials from authorised sources.

The minimum duration for the MSW is expected to be twelve months (six months for course works and 6 months for research papers and field work practicum).
The purpose of the programme is to produce social workers who are well knowledgeable, organized and professional as well as practical. They should be able to provide social work services that are necessary competent to the vulnerable groups in the society such as children, youth, the old and most vulnerable population effectively in the community and various social settings. The following is expected for the MSW graduates:
Ø  Utilize scientific approach on applying Evidence Based Indirect Practice intervention strategies to fight oppression and discrimination against vulnerable people in the society.
Ø  Understand diversity and social functioning as well as advancement of human rights, social and economic justice
Ø  Develop Critical thinking and apply the theoretical and empirical knowledge and skills of social work towards the client and social systems.
Ø   Utilize appropriate models, approaches and methods of effecting and evaluating change in communities and policy arenas based on a multidimensional risk assessment and the goals of the practice interventions in reducing risk and impacts of disasters.
Ø  Advocate through professional and political means, for policies and programs that address the social and economic well-being of community members in need of assistance.
Ø  Fully understand and apply the systems and ecological perspectives in understanding human behaviour.
Ø  Use advanced administrative practice skills designed to influence policy and/or program development, implementation, or change on behalf of clients and/or communities in the indirect  practice
Ø   Practice case management (planning, implementing, supervising and monitoring cases)
The MSW courses that will be offered are seven including the dissertation course. These are as listed below. 

Course Number
Course Title
OSP 610 (elective)
Leadership with Children and Families Services
OSP 611 (elective)
Leadership in Health Services
OSP 612 (elective)
Leadership in Development & Emergency Response
OSP 613 (elective)
Leadership in Social Work Education
OSP 601
Contemporary Issues In Social Development:  Gender, Population, Environment, Food Security and Corruption
 OSP 602
Advanced Clinical Social Work
OSP 603
Advanced Administrative and Community Social Work
OSP 604
Advanced Social Welfare Policy
OSP 605
Advanced Social Work Research
OSP 606
Post-Graduate Field Practicum (600 hours)
OSP 607
Dissertation





Bsc. ICT @ THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA


RAIS WA BARAZA LA AFRIKA LA ELIMU MASAFA PROF. TOLLY S.A. MBWETTE (KATIKATI) AMBAYE NI MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA AKITOA MAELEZO YA UFUNGUZI WA KIKAO CHA SITA CHA BARAZA HILI KILICHOFANYIKA JANA KATIKA HOTELI YA GIRAFFE JIJINI DAR ES SALAAM. KULIA KWAKE NI PROF. MUTINDO NA KUSHOTO KWAKE NI PROF. MINGA WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA.

MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA AFRIKA LA ELIMU MASAFA (ACDE-TCC)

Wajumbe wa Mkutano wa Sita wa Baraza la Afrika la Elimu Masafa (ACDE-TCC) wakiendelea na mkutano wa siku moja wa Baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kifaru ulioko katika Hoteli ya Giraffe, Dar es salaam hapo jana tarehe 21/02/2013.



CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO
CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
SALAMU ZA PONGEZI KWA DR. ASHA ROSE MIGIRO KWA KUTEULIWA KUWA MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
 


DR. ASHA ROSE MIGIRO
MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
UONGOZI WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA UNAYO FURAHA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA DR. ASHA ROSE MIGIRO AMETEULIWA NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUWA MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. UTEUZI HUO UMEANZA TANGU TAREHE 17 JANUARI, 2013.
UONGOZI WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA UNAYO FURAHA KUBWA KWA UTEUZI HUU NA UNAPENDA KUMPONGEZA DR. ASHA ROSE MIGIRO KWA KUTEULIWA KWAKE KUWA MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. AIDHA, UONGOZI, WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA WANAPENDA KUCHUKUWA FURSA HII KUMKARIBISHA RASMI CHUONI DR. ASHA ROSE MIGIRO NA KUMHAKIKISHIA KWAMBA BARAZA LA CHUO, UONGOZI NA JUMUIYA NZIMA YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA WATATOA USHIRIKIANO WA KARIBU ILI KUFANIKISHA DIRA YA CHUO YA KUTOA ELIMU BORA NA NAFUU KWA NJIA YA ELIMU HURIA NA MASAFA.
IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
TEREHE: 19/02/2013.

MKUU MPYA WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

 Dr. ASHA ROSE MIGIRO
HUYU NDIYE MKUU MPYA WA MPYA WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA ALIYECHUKUA NAFASI YA Dr. SAMUEL MALECELA ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
UTEUZI WA Dr. ASHA ROSE MIGIRO UMEFANYWA NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA KWAMBA UTEUZI HUO NI KUANZIA TAREHE 17 JANUARI,2013



February Night Skies over Tanzania

Dr. Noorali T Jiwaji
Department of Physical Sciences, OUT





The world woke up on February 15 to a shocking asteroid strike in the skies over a small Russian town. The nearly 10 ton asteroid caused much damage to property and injured hundreds by its shock wave due to its hypersonic speed of more than 100,000 kilometers per hour, which is about 100 times the speed of sound.  Such an extremely rare event was even more remarkable because of the coincidence of another extremely rare event.  A much larger 50 ton asteroid 2012 D14 that had been accurately predicted to fly by close to Earth also passed us safely that night.



Read more.....


Like our Facebook Page
 
X
Welcome Comments for Myspace